age gap relationship.

kitu kingine sikusema hapo juu:

mimi ni mpiga jembe tu, yeye anakazi yake na mshahara mzuri - hii pia inaniweka kwenye fikra.
sitokuwa mbali na watoto wangu and will support them kwa kila kitu.


aaaa kumbe inferiority complex inakusumbua.
 

Seto, hapo umesema yote hiyo ndio fikra yangu mbovu haswaaaa:sad:
gap ya 20 years sio mchezo mkuu, mwanamke ndio kwanza anarapa
kwa manyege - kazee umebaki kutia vidole ukichokora hamna kitu.
 

Truly, hivi sasa ananipenda sababu shughuli ipo, labda bado hamjanifahamu.
unajuwa mukiowana young same age or a little different, munazeeka pamoja,
siku zambele hakuna wa kumlaumu hata mkilala kila mmoja kaelekea ukutani
mumepeana migongo hamjali - nyote mumekula uroda wa kutosha kwenye ujana right?

lakini uongo katoto kadogo na mimi nishazeeka, uongo hatokubali kupapasa chuchu
na kunusa sambusa, huwezi kuila tena, utamtesa kijana wa watu right?
 
mnh unajuaje utafika huo umri mkubwa?
wewe live today as if there is no tommorow...
ikifika umefikia huo umri mkubwa,then utajua nini cha kufanya huko kwa huko....
you will b suprised,mkeo hamu yake naye ika cease....
mwili nao una njia yake ya kujiadjust,kama ipo utataka kama haipo hautataka!...:twitch:
 
du! 17 years????

Uzee upo na utakuja usiwaze sana ukachanganyikiwa..atazeeka na wewe!!
 
I dont think if you are doing her justice. Umekuwa na yeye mida hiyo yote na ushamzalisha watoto wawili and now you are here telling us age difference. To me you are not wise enough. And then if you love her and she loves you that much why should you worry. I think that is the most important thing if there is love between you guys. Endeleeni na maisha bila wasiwasi.
 

mapenzi ya kweli ndo kila kitu... mengine yote geresha tu!!muhimi wote muwe na afya njema!!:coffee::coffee:
 

pauline - great thanks
 
Kwa mwanaume kuwa na umri mkubwa si tatizo, nguvu za tendo la ndoa zitakuwa palepale na uzuri tayari mna watoto wenu wawili, shida ingekuwa kwa mwanamke kama angekuwa mkubwa yeye. Labda sijajua wasiwasi wako wewe upo kwenye nini hasa. Hongereni kwa kupendana maana siku hizi ni wachache wapendanao kwa dhati, chocheeni muendelee kupendana.
 

thanks Remmy - hapo pamenipoza roho, kwa hiyo nitazidi kumpenda na kuondowa wasiwasi.
 
Ulikuwa wapi siku zote hizo??
Ushamzalisha ndo unafikiria hayo yote!!!
Wakati unamtaka ulikuwa hufikirii hayo yote??!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…