Agenda kuu ya Genz ni kuiba

Msafara wa mamba, kenge nao wamo.
Wahuni wanatumia fursa.
Inasikitisha sana.
 
sie wacha tuendelee kuandamana humu humu jf
 
Akili na ujinga vimepishana padogo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…