ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Imeshangaza nilivosikia katibu wa CCM Nchimbi akisema Chama chenye wagombea wengi cha upinzani ni ACT kwamba kina wagombea Zaid ya 3000
Me nimetoka Ngara hadi Dar sijaona mtaa wala Kijiji chenye mgombea wa ACT
ACT ni CCM B
ACT akishinda ni CCM imeshinda
Na Sasa ACT watapewa mitaa kadhaa ili uonekane Upinzani tulishinda Tanzania
Nauliza huko kwenu ACT Wazalendo ipo?