Agenda ya CCM ni kuikuza ACT- Wazalendo na kuidogosha CHADEMA

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Imeshangaza nilivosikia katibu wa CCM Nchimbi akisema Chama chenye wagombea wengi cha upinzani ni ACT kwamba kina wagombea Zaid ya 3000

Me nimetoka Ngara hadi Dar sijaona mtaa wala Kijiji chenye mgombea wa ACT

ACT ni CCM B
ACT akishinda ni CCM imeshinda
Na Sasa ACT watapewa mitaa kadhaa ili uonekane Upinzani tulishinda Tanzania

Nauliza huko kwenu ACT Wazalendo ipo?
 
Mtateseka sana na Mzee Mbowe hadi mtaelewa tu embu sikilizeni hiyo👇
View: https://youtu.be/mwGriQifADE?si=VRMa1CR98FFlwEg-
 
CDM hawaiwezi - kuna mtu alijiapiza kaondoka kaiacha ikistawi.
 
Hawawezi KAMWE! Ni wajinga mno! Nchi nzima wanawaza SIASA Tu Yaani Wapate madaraka waibe.....
 
Kizuri chajiuza na kibaya............
 
Na washafanikiwa. Ni suala la muda tu 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…