Agenda za Mkutano mkuu wa Simba 2016.

Kikao kimekimbizwa ndani ya masaa mawili kimeisha kuna baadhi kubwa ya wanachama kwa wingi ikiwa ni pamoja na mwenyekiti na uongozi kwa ujumla ni kama wameshauza timu kwa muhindi ilikuwa ni vituko toka mwanzo hadi mwisho watu wameingia mkutanoni wakitaka ijadiliwe tu ajenda ya tisa ikabidi mwenyekiti akimbize mkutano hadi ajenda ya tisa alipofika hapo akasema haya "ndugu wanachama klabu haina tena uwezo wa kujiendesha tunahitaji mabidililiko hivyo basi tumeunda kamati ya watu iliyowahoji wanachama 25 inaanza mapendekezo yataletwa kwenu mabidililiko na kikao kimefungwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…