The activist
Senior Member
- Aug 9, 2014
- 113
- 67
Kuna mfanyabiashara mmoja hapa Mwanza nilipeleka mzigo wangu aniuzie mwezi umepita sasa.Baada ya siku chache ofisi yao ilifungwa na TRA hivyo nilipokuwa nampigia simu hapokei ,Leo nampigia anasema ashanilipa.
Msaada tafadhali namna ya kufuata kisheria ili haki yangu isipotee . Nawakaribisha wenye uelewa na hili tu.Pia kama kuna mwanasheria Mwanza anayeweza kunisaidia kwa hili tuwasiliane PM.Masihara, kujeli hapa havina nafasi.Natanguliza shukrani.