Mungu Mweusi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 1,474 Reaction score 1,080 Feb 28, 2016 #1 Mwenye taarifa jinsi ya kuwa agent wa cement ya bei nafuu ya Dangote, atujuze
Usedcountrynewpipo JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 3,636 Reaction score 2,728 Feb 28, 2016 #2 Kuna kipindi walitangaza kuwa wanatafuta ma agent... Sasa inabidi utafute meneja wa masoko wa eneo husika atakusaidia. Otherwise uende kiwandani...
Kuna kipindi walitangaza kuwa wanatafuta ma agent... Sasa inabidi utafute meneja wa masoko wa eneo husika atakusaidia. Otherwise uende kiwandani...