GreenHouse
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 280
- 262
Habari wana JF,
Kama unahitaji Gadget yoyote kutoka UK, iwe simu, laptop, tablet, smart phone, digital camera nk... unaweza kuwasiliana nami. Ntakununulia na kukuletea kisha utalipia ikishafika na kukukabidhi...
Angalizo: Unapoagiza hakikisha una pesa taslimu za kulipia kwani mzigo ni kati ya siku 7-10 unakuwa tayari umefika.... kwahiyo jipange... Sikopeshi...
NB: Chochote utakachoagiza utalipa gharama ya manunuzi taslimu iliyo kwenye risiti, shipping cost na service charge ya pound 20 tu.. yaani aprox elf50.
Kwa mawasiliano, PM au piga simu namba 0714881500.
Shukran, na Karibuni Sana.
mkuu used ua mpya? angalau pia ungecheck namna ya kuweka hata list ndogo ya unavyowe kuleta kwa maana ya aina!
Poleni sana, Anaweza kuwa amepatwa na shughuli inayomfanya ashindwe kuwahudumia, au hata pengine hayupo tena nchini...Kuna mwingine alikuja kama hivi halafu akapotea bila kujibu maswali ya watu!
Pound 20 ni sawa na kama elfu 40 na ushee hivi.
Bidhaa nnayonunua ikiwa inagharimu pound 15 huoni kama charge yako iko juu sana mkuu?
sasa mkuu kwa galaxy note2 mpya inayouzwa £293 ad kuipata itanigharimu kiasi gani cha kibongo(pesa)..
Je haina delivery charge ya UK? Assume haina, gharama iko hivi
£293*2650=776450 Tshs (Hii ni pesa ya manunuzi)
£15*2650=39750 Tshs (Hii ni gharama ya kuleta Tz)
£20*2650=53000 Tsh (Hii ni gharama ya kunilipa mimi kwa kazi ninayofanya)
Total: 869200 ~ 870,000 TShs.
mkuu ni nani huyo alikujaga bila kujibu maswali?Kuna mwingine alikuja kama hivi halafu akapotea bila kujibu maswali ya watu!
Charge sio kubwa ndugu, kumbuka nanunua bila kukujua wala kukuona. Mzigo ukifika nakupigia, ukinizimia simu imekula kwangu, Consider other factors in business, Why would one need to work his arse off for 5 quid?
Kama unafanya biashara kwa kubahatisha then unaenda chaka. Why would you buy and order something for someone you haven't even set your eyes on? Why wouldn't you institute 50% down payment in that way you would have a leverage?
what will be the leverage of the buyer if he pays that 50% down payment?
Ushuru wa kuimport nani analipia?
Je haina delivery charge ya UK? Assume haina, gharama iko hivi
£293*2650=776450 Tshs (Hii ni pesa ya manunuzi)
£15*2650=39750 Tshs (Hii ni gharama ya kuleta Tz)
£20*2650=53000 Tsh (Hii ni gharama ya kunilipa mimi kwa kazi ninayofanya)
Total: 869200 ~ 870,000 TShs.
mkuu bado hujaipata tu hiyo kitu? hivi tulishindwa kuelewana kipi? okmkuu habar, naomba website hiyo nicheki, naitaji ipad 3 16gb+3g and wifi. NATANGULIZA SHUKRANI MKUU