GreenHouse
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 280
- 262
- Thread starter
-
- #21
It would be much easier if I had an office. I operate everything online hence taking the risk. I dont want to have an office because the whole idea of "affordable" will no longer be there, It will push me to charging premiums etc to cover the office costs and so on. I buy things on people's behalf without a down payment only if the order is less that 1m and at the moment Only orders that are resell-able are accepted.Kama unafanya biashara kwa kubahatisha then unaenda chaka. Why would you buy and order something for someone you haven't even set your eyes on? Why wouldn't you institute 50% down payment in that way you would have a leverage?
Buyer siku zote
Quality matters mkuu. Products za UK hata kama zimetengenezwa China zinakuwa na ubora wa hali ya juu kwasababu nchi yao ina sheria kali sana.Duuh kumbe bei ghali hivyo..!! Ok tutakuchek bro kwa vitu vya bei poa
Down payment itafuata, sasa hivi natengeneza clientele kwanza, nikishakuwa na a certain no of happy customers mengine yatafuata...Ni kweli ungechukua down payment hata ya 20%
Sorry kwa kuchelewa kujibu, kama unataka mpya angalia Apple (United Kingdom) na kama used angalia Electronics, Cars, Fashion, Collectibles, Coupons and More | eBay, chagua zenye buy it now unipe link kwa PM.mkuu habar, naomba website hiyo nicheki, naitaji ipad 3 16gb+3g and wifi. NATANGULIZA SHUKRANI MKUU
yah mkuu ndo mm, aina shaka mkuuSorry kwa kuchelewa kujibu, kama unataka mpya angalia Apple (United Kingdom) na kama used angalia Electronics, Cars, Fashion, Collectibles, Coupons and More | eBay, chagua zenye buy it now unipe link kwa PM.
NB: Kuna mtu nimewasiliana naye kwa simu kuhusu the same thing, was it you?
Asante na Karibu sana.
Kuna mwingine alikuja kama hivi halafu akapotea bila kujibu maswali ya watu!
Duuh kumbe bei ghali hivyo..!! Ok tutakuchek bro kwa vitu vya bei poa
watu hufikiri dunia inzunguka around wao tu....imejibu safi sanawhat will be the leverage of the buyer if he pays that 50% down payment?
Wakuu,
Nimetoka kuchukua mzigo wangu kwa huyu jamaa, kanifikishia vizuri kabisa. Nilimuagiza Satlink meter kwa ajili ya kazi zangu za kufunga madishi, nimepokea leo ikiwa vema sana. Hudhaifiy, gharama zake ni reasonable kwa risk anayochukua, hasa iwapo unaagiza bidhaa yenye bei kubwa. Mie niliagiza bidhaa ya £101, mpaka imefika nimelipa 380,000/-, inclusive ya kodi zote na gharama yake ya kazi hiyo.
Sorry kwa kuchelewa kujibu, kama unataka mpya angalia Apple (United Kingdom) na kama used angalia Electronics, Cars, Fashion, Collectibles, Coupons and More | eBay, chagua zenye buy it now unipe link kwa PM.
NB: Kuna mtu nimewasiliana naye kwa simu kuhusu the same thing, was it you?
Asante na Karibu sana.
Kaka nina shidayamita Yani kipomo chavifaa vaumeme ainaya FLUKE179)kamaujaelewa tafazali niulize tujulishane nategemea msaada wako
mkuu habar, Samahani niliitaji kuuliza kama umekuta bidhaa ipo kwenye bid then mda wake unakalibia kuisha then na mm nika bid afu nikashinda bid hiyo UNAWEZA KUNICHUKULIA HUO MZIGO NILIO BIDI MIMI NIKASHINDA?? NATANGULIZA SHUKRAN MKUUHabari wana JF,
Kama unahitaji Gadget yoyote kutoka UK (New/Used), iwe simu, laptop, tablet, smart phone, digital camera nk... unaweza kuwasiliana nami. Ntakununulia na kukuletea kisha utalipia ikishafika na kukukabidhi...
Angalizo: Unapoagiza hakikisha una pesa taslimu za kulipia kwani mzigo ni kati ya siku 7-10 unakuwa tayari umefika.... kwahiyo jipange... Sikopeshi...
NB: Chochote utakachoagiza utalipa gharama ya manunuzi taslimu iliyo kwenye risiti, shipping cost na service charge ya pound 20 tu.. yaani aprox elf50.
Kwa mawasiliano, PM au piga simu namba 0714881500.
Shukran, na Karibuni Sana.
mkuu habar, Samahani niliitaji kuuliza kama umekuta bidhaa ipo kwenye bid then mda wake unakalibia kuisha then na mm nika bid afu nikashinda bid hiyo UNAWEZA KUNICHUKULIA HUO MZIGO NILIO BIDI MIMI NIKASHINDA?? NATANGULIZA SHUKRAN MKUU
Bila ya samahani ndugu,
Ili uweze kubid inakulazimu uwe umeshajisajili Ebay na account yako inafanya kazi. Sasa ukibid kwa kwa kutumia ac yako na ukashinda, anayeruhusiwa kununua hiyo bidhaa ni yule tu aliyebid na kushinda (winning bidder) Hiyo ni automatic. Na ebay hawawezi kuruhusu umuhamishie mtu mungine jukumu la kulipa ndio maana kuna button ya Commit to Buy imewekwa, Punde unapobid na kucommit to buy basi wewe ndio kisheria unapaswa kulipia.
Kwa urahisi wa mambo ni vema ukaangalia bidhaa zenye Buy It Now ili unaponipa link mi niwese kununua kupitia account yangu. Na kama unahitaji Nibid kwa niaba yako basi itabidi unipe tu item no au link ya hiyo item halaf mimi ndio nibid kupitia account yangu.
Ili kufanya hivi nitahitaji Uwe umeshalipa Kabisa gharama za mzigo kwani naweza kubid kwa niaba ya mtu halaf akabadili mawazo ikaniingiza katika majukumu mengine na Ebay.
Karibu sana.
Ok, sasa kuhusu kukulipa kabla mzigo haujaununua inakua ngumu kujua ni kiasi gani coz navyo jua unapo bid yawezekana Baada ya ku bid akaja mtu mwingine akabidi hela hapo inaongezeka huoni inakua na ugum Fulani, afu link au iterm nayotaka ubid ni ile ilio bakia Kama saa au dakika! Afu mtu kubadili mawazo KWA upande wangu haiwezekani coz na jua hi ni biashara bwana, Please jalibu kucheki mawazo yangu ukiona haina shida kuna bidhaa nyingi naziitaji ; Kaz njema mkuu!!!!!
Boss mbona nilishakujibu siku ile ile na nikakupa link nikakwambia uchague unayohitaji? angalia post namba 32 hapo juu utaona.Kaka vipi ulempango nilikuambia naitaji mita ainaya FLUKE179) mimiiyokitu naitaji kweli
Habari wana JF,