Agiza Gadget yoyote uipendayo kutoka UK

Jamaa yuko poa, tena Ni mshauri mzuri Tu kwa bidhaa unayotaka kununua, Mimi ameshakuwa rafiki yangu. Ni mtu poa na mwaminifu sana
 

Shukran sana Ndugu, Actually Mimi na Njuwa wa Mavoko ni watu tunafahamiana kibiashara na tunaaminiana sana, nanunua kila mwezi anti censorship kwake.
Kuhusu kumake it official Ndugu Mimi nafanya hivi vitu out of passion tu, na si Main Business yangu, najaribu kusaidia watu ili niongeze wigo wa mtandao wangu wa kibiashara katika huduma nyingine muhimu sana ninayoifanya ya Greenhouses na AgriBusiness in general (Pitia hapa utaona - https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...08513-jenga-greenhouse-kwa-gharama-nafuu.html). Also haya mambo ya kuwaagizia vitu watu yanahitaji muda sana na nikishakuwa nawapa watu skype id yangu na kufungua blog ntakuwa silali ndugu. Yes its business lakini you have to put some limits in what you do especially ukishakuwa na familia. Kuna watu wengi tu nimeshawahudumia kupitia hapa hapa JF lakini kwa sababu zao binafsi hawawezi kutoa mrejesho hapa. Nimeshawaagizia watu hadi Mascania, Pick ups za mamilioni ya fedha na kuwasaidia wengine UK Visa Processing bila matatizo.

Karibu sana.
 

Aisee nitakutafuta kaka
 
sawasawa mkuu. what about amazon huwa unachukua mizigo? nimekuja kunotice kuwa amazon wanapack na kuship wenyewe so you will be the best transist bro.. ill be in touch mkuu expect me at any time..
 
Nahitaji tv flat lg au samsung kuanzia 40" used mpaka naipata itanigharimu pesa ngapi?
 
sawasawa mkuu. what about amazon huwa unachukua mizigo? nimekuja kunotice kuwa amazon wanapack na kuship wenyewe so you will be the best transist bro.. ill be in touch mkuu expect me at any time..
Yes amazon pia nanunua. Hakuna tatizo tuzidi kuwasiliana.

Karibu sana.
 
Nahitaji tv flat lg au samsung kuanzia 40" used mpaka naipata itanigharimu pesa ngapi?
Tafadhali Ingia Electronics, Cars, Fashion, Collectibles, Coupons and More | eBay au www.amazon.co.uk Kisha search unachotaka, ukishapata niPM unipe link Ntakupa mchanganuo wa bei. Kwa bahati mbaya inakuwa ngumu sana kwa mimi kukuchagulia kwani Matakwa ya kila mmoja yako tofauti.
NB: Hakikisha unasoma maelezo vizuri na unayaelewa. Kisha unachagua zenye BUY IT NOW tu kwa ebay kwani Kubid inachukua muda na naweza nisiwe mimi ndio higher bidder.

Karibu sana.
 
Nashukuru sana huyu jamaa niliagiza Printer ya passport size na camera ilifika nikamlipa chake huyu jamaa ni genune siyo magumashi
 
hiyo ikifika hapa halipiwi kodi???(import duty,VAT)
 
GreenHouse ntakutafuta mkuu tufanye kazi nime pendezwa na mrejesho wa wadau
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…