Agiza spea za Magari ya Ulaya aina zote hapa kwa bei nafuu

Agiza spea za Magari ya Ulaya aina zote hapa kwa bei nafuu

Huntsman

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
649
Reaction score
613
habari wakuu?

Ninajihusisha na uagizaji wa Spea za magari ya Ulaya... Kwa muhitaji yeyote anaweza kuni PM au akacomment hapa nitakusanya request kisha nitareply kwa Bei zetu.

Bei ni nafuu na spea ni Original

Kwa sababu ya changamoto ya mtaji hatuna stock bali tunaagiza moja kwa moja Ulaya kwa order.


Karibuni sana.
 
Safi Sana Kwa ubunifu wa biashara unayofanya Ila jitahid upate ofisi ramsi ili upige pesa ndefu
 
Samahani wakuu, naulizia kama naweza kupata oxygen sensor ya Volkswagen polo 1.4L ya 2006

model namba ya sensor hii apa

036 906 262 T

bei sh ngapi
 
"Kwa sababu ya changamoto ya mtaji hatuna stock bali tunaagiza moja kwa moja Ulaya kwa order."

Mh!!
 
Back
Top Bottom