Agizo kwa wanaume wa Dar toka kwa wanaume wa mikoani

Agizo kwa wanaume wa Dar toka kwa wanaume wa mikoani

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,465
Kumekuwa na Tabia kila msiba unapotokea Dar mnajazana kuja kijijini kuzika...

+Mkifika hamchimbi kaburi.
+Hamumlilii marehemu
+Hamumswalii marehemu
+Hamumfukii marehemu

Mnachokiweza na kukaa na kupiga soga. Mmefanya misiba ni vijiwe vya kuzungumzia siasa.

Sasa tunasema hivi. Msiba ukitokea mbaki huko huko . mkija hakuna mnalofanya..

Mfano:

#1. Hata ukifika muda wa chakula unasikia "Wageni kutoka dar waanze kula kwanza"

#2. Siku moja tupo tunachimba kaburi, Tukaletewa maji ya Kunywa ya chupa.. Mzee mmoja akasema "maji ya kunywa yamenunuliwa kwa ajili ya wageni wa dar tu"

Wanaume wa DAR utawataka kwenye mabasi ya mwendo kasi. Ni dakika 30 tu hadi town. Wanavyokimbilia kuwahi viti ili wakae ni aibu. Wamelegea mno jamani.

Kauli hii imetolewa na:
Umoja wa Wanaume wa Mikoani. Wanaotambua maana ya "Uanaume"
 
Mamaaa misstrace ni kweli kabsa hawa jamaa wanakuja na marehemu huku wananuka pombe sio wote lkn, wengine wanapiga story tu hawashughuliki na kazi yoyote, salam zisizoisha kila nyumba, wengine muda wao wa kuondoka ukifika wanataka kuachwa na gari maana hawawi msibani bali misele yao.
 
Kumekuwa na Tabia kila msiba unapotokea Dar mnajazana kuja kijijini kuzika...

+Mkifika hamchimbi kaburi.
+Hamumlilii marehemu
+Hamumswalii marehemu
+Hamumfukii marehemu

Mnachokiweza na kukaa na kupiga soga. Mmefanya misiba ni vijiwe vya kuzungumzia siasa.

Sasa tunasema hivi. Msiba ukitokea mbaki huko huko . mkija hakuna mnalofanya..

Mfano:

#1. Hata ukifika muda wa chakula unasikia "Wageni kutoka dar waanze kula kwanza"

#2. Siku moja tupo tunachimba kaburi, Tukaletewa maji ya Kunywa ya chupa.. Mzee mmoja akasema "maji ya kunywa yamenunuliwa kwa ajili ya wageni wa dar tu"

Wanaume wa DAR utawataka kwenye mabasi ya mwendo kasi. Ni dakika 30 tu hadi town. Wanavyokimbilia kuwahi viti ili wakae ni aibu. Wamelegea mno jamani.

Kauli hii imetolewa na:
Umoja wa Wanaume wa Mikoani. Wanaotambua maana ya "Uanaume"
Nanyie tabia yenu ya kuombaomba hela muache, unakuta jitu zima na familia yake huko mkoani linampiga mzinga ndugu yake alieko dar au rafiki yake, acheni kupiga minzinga kwa shemeji zenu ala.
 
Nimecheka hilo la kukimbilia siti za mwendo kasi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja waje

Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]
 
Bora uwaseme mana kuna wengine wanaona ndio muda mzuri kucheza draft mi nshawahi kuwaona sehemu hadi roho ikaniuma.

[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
wanaume wa dar wanakula mahindi ya kuchoma nalimao na diamond karanga
 
Wanaume wa mkoani soko linawaka moto mmeshindwa hata kubeba ndoo za maji kwenda kuzima mnalalamika zimamoto wamechelewa.

Mnajisifia kula sana tu
 
Back
Top Bottom