SERIKALI 3
Member
- Apr 27, 2014
- 82
- 18
Kwa maagizo ya IKULU kama hizi, hivi tutapata maendeleo AFRIKA?
What's wrong with that?
Watanzania tusijidanganye kwamba kilimo cha mashine ni maendeleo endelevu. Hivi hamuoni kuwa mafuta yanaendelea kuwa bidhaa adimu na ghali kila siku?
Isitoshe, kilimo cha mashine kinanyang'anya ajira za wengi na kuchangia kwa kiasi kikubwa uchafuzi wa mazingira.
TUSIWE WAVIVU WA KUFIKIRI NA KUYATAZAMA MAMBO KWA MASAFA MAREFU!