MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Nimecheka sana kwa hii hotuba ya rais Magufuli, amechomekea vikechekesho humo japo pia ni suala la kusikitisha, kwamba Watz licha ya kuwekewa mikwara ya kufungwa miaka 30 kwa anayetia mtoto mimba, hilo halijawazuia, wanawasaka hawa wanafunzi kwa bidii.