M Mdukuzii JF-Expert Member Joined Jun 27, 2022 Posts 2,552 Reaction score 6,422 Aug 30, 2022 #21 Sexless said: Ningetoa maoni yangu lkn namuogopa Masauni Click to expand... Ndo nani
Y Yego mlaunu JF-Expert Member Joined Jun 12, 2020 Posts 234 Reaction score 269 Aug 30, 2022 #22 Mbona hata huo mwenge uko poa tu,hauzuii watu kupita. Hata hivyo tunataka tuchape kazi kwa upendo wa kutoka moyoni,siyo kufokewa
Mbona hata huo mwenge uko poa tu,hauzuii watu kupita. Hata hivyo tunataka tuchape kazi kwa upendo wa kutoka moyoni,siyo kufokewa
UmkhontoweSizwe Platinum Member Joined Dec 19, 2008 Posts 9,454 Reaction score 8,894 Aug 30, 2022 #23 Bwashee kwani alitoa tarehe ya mwisho ya kutekelezwa maagizo yake?
S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 23,683 Reaction score 55,898 Aug 30, 2022 #24 Mdukuzii said: Ndo nani Click to expand... Waziri wa mambo ya ndani
The Sunk Cost Fallacy JF-Expert Member Joined Dec 1, 2021 Posts 19,582 Reaction score 14,167 Aug 31, 2022 #25 Yego mlaunu said: Mbona hata huo mwenge uko poa tu,hauzuii watu kupita. Hata hivyo tunataka tuchape kazi kwa upendo wa kutoka moyoni,siyo kufokewa Click to expand... Daraja linaitwa Tanzanite alama yake ni Mwenge ni vyema alama ikafanana na jina.
Yego mlaunu said: Mbona hata huo mwenge uko poa tu,hauzuii watu kupita. Hata hivyo tunataka tuchape kazi kwa upendo wa kutoka moyoni,siyo kufokewa Click to expand... Daraja linaitwa Tanzanite alama yake ni Mwenge ni vyema alama ikafanana na jina.