The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Ni ngumu sana kwa sasa kueleweka, kwani toka mwanzo walitumia sana propaganda za kupotosha juu ya gonjwa hili, na watu wakawaelewa maisha yakaendelea kama kawaida sasa leo tena unabadirika!!mfano mzuri unauona hata kwenye chanjo, wanavyojichanganya waziri anasema wamejirizisha juu ya chanjo hizo kabla hajiletwa, jana msemaji wa serikali anasema kwa sasa tmda, wako wanajirizisha ubora wake kabla hazijaanza kutumika nchini!!wataweka miongozo mingi sana ili waonekane wako pamoja na hao wenyewe, waweze kupewa pesa ila on ground watuache tuishi tulivyozoea tu,Ndio nimetoka kushuka kwenye daladala hapa.
Baada ya kuoja tangazo la mkuu wa mkoa nikajua basi huko road hali ni mbaya mpaka nikawa najishauri nitoke au nikache tu.
Kuumbe waaalah hali ni kama kawaida na tulishona ile mbaya. Labda agizo halijaskika na si ajabu wengi hawamjui huyo makala ni nani.
Wapwani sisi, tena wimbigani la kaskazi au la kusi? Tuambizane mapema..Banah eeeh aya mawimbi yapo tu na ili litapita maisha yataendelea yatakuja mengine huko mbele.
Sometimes akili zinakurudiaga au unazirudiaga?stimulus package iko wapi?
level seat inaua biashara
Hasara inafidiwaje? Wapunguze kodi au kuwapa ruzuku wenye daladala ili wabakie pale pale walipokuwa kibiashara kabla ya hizo hatua za level seat au waruhusu nauli kupanda
Kuna maeneo ukiweka level seat watu watafika kazini saa nane mchana badala ya asubuhi sababu ya uwingi wa watu ukilinganisha na idadi ya daladala
Si kutoa maagizo tu peke yake ni lazima kuangalia na factors zingine
Nasikia itakuja Gamma! 🤣Banah eeeh aya mawimbi yapo tu na ili litapita maisha yataendelea yatakuja mengine huko mbele.
Inachofanya serikali ni kutoa matamko ya corona au kukomoana kwa kutumia corona na si kupambana na corona, ndio kama hivyo unatoa matamko ya level seat huku suala la mafuta hujalifikiria na hapo hapo ndio kwanza unaongeza mikodi.Seat level kwa sasa haiwezekani, practically. Mara ya kwanza corona ilileta attention dunia nzima hivyo reaction ilichukuliwa na dunia nzima hivyo kupelekea
1. Mafuta ya diesel na petrol kushuka bei 1500+ vs 1600+ sasa hivi 2300+ hiyo daradara itakayokubali kupakia seat level utaitoa wapi?
2. Wananchi wameshaizoea hivyo hawaoni umuhimu wa kuchukua hatua tena