Du! Hasira kweli kweli inaonesha utakuwa ulimzuia spouse wako kuhudhuria huo mkutano na unataka kusingizia mambo ya kungonoka. Ukweli hamna kitu kama hicho kungonoka ni tabia ya mtu mtu popote pale alipo iwe MZ, DSM, AR wanaongonok kwa saana wanajijua. So usiwe na hofu mikutano ya wanasheria ina maana sana katika tasnia ya sheria TZ na duniani kote. Kwa mfano theme ya mkutano uliopita ilikuwa nzuri sana kwani iliiangalia mambo yanayosababisha utekelezwaji wa kazi za kimahakama nchini kusua sua. Mkutano ulihusisha mada kutoka mahakamani, kwa mwendesha mashtaka na kwa mawakili wa kujitegemea. Mada ilikuwa nzuri sana, na kungonoka hakika hakukuwepo kabisaaaaaaaaaaaa!