Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Shida wako wengi sanaa.....ile kazi ya wito na uzalendoMakamanda tunakesha tunaumwa na mbu kuhakikisha Nchi Iko salama na viongozi wake japo ni mafisadi.makamanda tunatakiwa tulipwe kama wabunge Kwa kazi kubwa tunayofanya.
Wanajeshi wana mishahara minono wana maisha mazuri ww unataka waongezewe mishahara,are u serious?ww sio mtanzania mzalendo ht kdgMhe. Agnes Marwa Aomba Maslahi ya Majeshi Yaboreshwe....
View attachment 2991219
Mishahara minono? Acha story za vijiweni mkuuWanajeshi wana mishahara minono wana maisha mazuri ww unataka waongezewe mishahara,are u serious?ww sio mtanzania mzalendo ht kdg