Agnes Masogange: Makalio yangu ndiyo kila kitu katika maisha yangu

Agnes Masogange: Makalio yangu ndiyo kila kitu katika maisha yangu

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

Hii ni moja kati ya picha ambazo zimewapagawisha watu wanao mfuata "followers" kwenye ukurasa wake wa instagram......cheki picha na comments za wadua!...Nouma sanaComments za wadau
 
VIDEO QUEEN 'grade one' Bongo, Agnes Jerald ‘Masogange' amefunguka kuwa hakuna kitu anakizimikia kwenye mwili wake kama makalio.


Video Queen ‘grade one' Bongo, Agnes Jerald ‘Masogange'


Masogange aliiambia Bongowood kuwa:"Hakuna sehemu ninayoipenda kama makalio, yamekaa vizuri, nayapenda, najidai kupitia sehemu hiyo niliyojaaliwa na Mwenyezi Mungu."



Makalio ya Agnes Jerald ‘Masogange'.




 
Mbona kawaida tu tena sana.
 
Huyu dada kaumbika vizuri, yuko mnadani anajiuza au ndio kututamanisha akina yahee?
 
Hivi hilo doti hapo pajani ni kovu au?
 
Back
Top Bottom