Agnes masogange sizzles in new pics

sina shaka mamwela wa bondeni wamempekenyua both ways kisawa sawa.
 
Mshepuu kweli mashallahh..ila aangalie uzee unakuja shape ikiisha she better hav smthn else cha kuringia ie pesa,ndoa,family etc
 
Mshepuu kweli mashallahh..ila aangalie uzee unakuja shape ikiisha she better hav smthn else cha kuringia ie pesa,ndoa,family etc

Nilikuwa sijui kumbe hadi NDOA watu wanaringiaga? Duh
 
Kashepu kapo bana,wenye visu vikali waendelee kukata hiyo nundu kwa raha zao....
 
Ana shepu nzuri, ila kama sijui niseme hasisimui. Wajua kuna mademu hao ukiona picha zao au ukionana nao akili inavurugika Kwa muda.
 
Ana shepu nzuri, ila kama sijui niseme hasisimui. Wajua kuna mademu hao ukiona picha zao au ukionana nao akili inavurugika Kwa muda.

Exactly ,dah kk una akili ya ziada,shepu yake sijui imekaaje,kama imepinda pinda iv,yaan shepu yake ya kipekee sana
 
Maku ni maku tu na kila mwamke anayo hata ikiwa kengeza shavu moja.ni maku
 
Shepu ipo...ila sura nzito hatarii....na haya ni mambo ya mpito tu wala hayana mashiko
 
Mtoto mashalla huyo ,kikawaida nikiamka tu asubuhi lazima nichungulie instagram yake page
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…