Agnes masogange sizzles in new pics

Agnes masogange sizzles in new pics

attachment.php



Asante dada. Wanaosema wanauza unga sitaki kuwaamini tena.

Tena usiamin kabisaa nenda akakupe anatoa guchiii huyoo
 
Daaah, balaa hili. ngoja nikasake vijisenti aisee maana imbombo ngafu!
 
Sio kweli kuna wanaume wengine hawafagilii makalio kama hayo

Wengine sawa...hata mimi sijasema ni wooooote...nimesema wengi...nina uzoefu na vjiwe tofauti tofauti...kuanzia vile rasmi na visivyo rasmi...so tunaongelea uzoefu mummy....katika mademu kumi wanaosifiwa kwenye vikao "halali" vya wanaume....nane kati ya hao ni waliojaaliwa mizigo na sio sura.

Na kama mwanaume umnyonge kiuchumi au kimwili a.k.a nyama moja, ni bora uowe mwanamke mrembo wa sura lakini sio mwenye "mzigo"....adha utakayopata ukiwa na binti mrembo sio sawa na ile ya kufuatana na mwanamke mwenye mzigo............yaani mkikatiza tu walipo wanaume, majamaa yanageuka kutakasa macho bila hata kujali uwepo wako.
 
Back
Top Bottom