Agnes: Natafuta dawa ya kupunguza makalio

mmh jaman mbona makalio ya kawaida kbs hayo dada??
 
anajishaua tu, mbona tutako twenyewe todogo hata kwenye kiganja hatujai
 
Hamna kitu hapo.., sababu angekuwa anakerwa angevaa nguo za kujistiri.. Anataka kuuza gazeti tu., kuna watu tunawajua ambao wameumbika kushinda yeye ila wanajistiri kuepuka kero., agness. Anavaa nguo za uchi na zinazombana tena zenye material nyepesi na kila picha anayopiga lazima ageuzie makalio kwenye camera..,anapenda na anajitangaza
 
Mmeshasema anauza sura , kwahiyo na hapo ameshaitangazia biashara ya makalio yake!!
Kiufupi yeye kama anaona kero avae nguo zenye kusitiri mwili wake. Kuna wadada wengi wanamaumbo makubwa na mazuri sana ila kwa jinsi wanavyovaa hata hawawezi kusumbuliwa.Lakini wadogo zetu wa siku hizi akiwa na **** kidogo litaingishwa na kuzungushwa balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…