Mbona pix zote anatangaza bidhaa? Au anatoa ndogo?
Watu wakipiga picha (sio wote) hua wanatafuta mkao ambao utaonyeshe their 'best feature/asset'. Kama ni wowo atakaa kiupande, kama ni miguu ataikunja ama atainyoosha ionekane vizuri, kama ni macho atarembua na kuangalia camera moja kwa moja, kama ni kiuono basi ataweka na mkono ili ukione, kama ni tabasamu basi ataachia mpaka mwisho n.k
Sasa dada hapo kaonyesha kile anachoona kinavutia zaidi kuhusu yeye, there is nothing wrong with that.
analipa..agnes wa masogange ndie video queen kwa bongo sasa hivi kama unavyomuona ni mrembo na umbo la kuvutia
huyu ndio yule wa kwenye wimbo wa masogange
mapenzi yautesa moyoooo
mapenzi yaumiza moyooooo
Huyo demu hakuanza na masogange ila hiyo nyimbo ilikuwa hit, hebu tafuta video ya Suma rider inaitwa My lady , utamuona alivyokuwa ni hivyo hivyo tu, mgongo anao, ila kwa sasa umeongezeka kutokana na hali yake ya kipato kupitia fani.
ila hii style ya wadada wa bongo sana sana kupiga picha na kugeuza makalio huwa sijui inaashilia nini? maana sijui ati....kila mwanadada picha anageuza makalio......makalio yanalipa sana eeh?