Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Hiv hua anafanya kazi gani tofauti na sembe?huda nae anang'ang'aniza tuone makalio yake lol
Kiukweli mtoto anapendeza kama yuko miami beach
Hiv hua anafanya kazi gani tofauti na sembe?huda nae anang'ang'aniza tuone makalio yake lol
"Show what your mama gave ha ha ha"
Mim kimoja tu naringia basi nisingepewa ningeliaje vingine vinipite tu
Kama ya masogange eeeh? Make kizazi chetu bila hayo hata kutembea mjini ishu....[/QU
Kwan ambao hawana hawatembei?
Kama ya masogange eeeh? Make kizazi chetu bila hayo hata kutembea mjini ishu....[/QU
Kwan ambao hawana hawatembei?
Wanatembea kwa shida ndo maana wanatafuta tiba....