Kama una mzigo wa kusafirisha wewe kaa pale air port, utamuona tu maana anapitapita huko mara kwa mara... unamuuliza tu anaenda wapi...atakuuliza wewe unataka niende wapi.....utamtajia kama ni SA, China, Brazil.....unamkabidhi mizigo (ya uzito wowote) na address....anapeleka........BURE, na ni muaminifu kweli.
Naambiwa alianzia stendi za mikoani...ukimkuta stendi, una magunia yako ya vitunguu..viazi....mahindi...anakupelekea popote.....
Hata wale kina Dar express wamemuiga yeye kusafirisha parcels..