Ibrahim300
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 390
- 68
BAADA ya kujificha muda mrefu tangu atoke mahabusu nchini Afrika Kusini kwa msala wa madawa ya kulevya, Video Queen Agnes Jerald Masogange amenaswa live akikata mauno huku akipewa kampani na mtoto mdogo nyuma yake.
Weekly Star Exclusive ilimbamba mrembo huyo juzikati nyumbani kwa mwigizaji Salma Jabu Nisha, Kijitonyama jijini Dar ambapo Nisha alikuwa akipiga makofi na kushangilia wakati Masogange alipokuwa akikata mauno.
Chanzo>>>Agness Masogange Anaswa Akidengua Kiuno Kwa Nisha