Wote watu wa maunga hao mbona inajulikanaconecting dots jack clif.........kakamatwa na madawa ........agnes masogange kakamatwa na madawa.........agnes na jack..........wamezoeana na jux...........jux ndo pusher
View attachment 131325
Agness Masogange akirusha nyavu haikosi.
Wakati huu imemnasua Jux, bwanake Jack Patrick, Juma Khalid a.k.a Jux.
Kulingana na chanzo kilichowanasua wawili hao, walionekana wakitembea sako kwa bako mitaa ya Sinza Kamanyola jijini Dar.
Wawili hao walibambwa kwenye duka moja lililopo maeneo hayo baada ya Jux kutua kutoka China huku Agnes akionekana kama anayemfariji kwa tukio la Jack kunaswa na madawa ya kulevya.
Masogange alipohojiwa kuhusu uhusiano wake na Jux alidai Wala hakuna lolote kati yangu na yeye. Mimi na wale akina Jux pamoja na dada yake ni watu wangu wa karibu sana tunaojuana muda mrefu hivyo tulikuwa tunabadilishana mawazo tu.
Jux na Jack wamekuwa wakionekana katika mitaa ya China wakila bata huku kukiwa na madai kuwa ni wapenzi na kuonekana kwa Jux na Masogange wakijiachia kumeibua maswali mengi.
Chanzo AGNESS MASOGANGE ANASWA LIVE NA BWANA WA JACK- bkuHABARI
Wewe jamaa anuniachaga hoi.. Eti wamenaswa, mara wamebambwa.. Nanani??? Mbona hiyo picha walijipanga kabisa kupiga?? You are sooooo once upon a time..
Acha ufidhuli...waliponaswa si Masogange alifanya kuhojiwa kwa muda...amejitetea hakuna chochote kinachoendelea kati yao...huyo mnasuaji wataka kuniambia hakuweza kupiga picha wakiwa pamoja...wamepiga picha pamoja kutoa fikra kuwa wana uhusiano...upo?
Imekaa kimbea mbea lakini si wee ni mmoja wao uliyeongeza idadi ya kuisoma,,,kama kichwa kilikuwa chaongea kiumbea ungeliipuuza kutoka mwanzo na si kuisoma halafu kuchangia
Pesa inatafutwa dogo,endelea kulala uolewe,kwanza mada ni ya uwongo hivi picha ya kunaswa ndo unaweka na pozi.Nanyie wachangiaji mada nahisi vichwa vyenu sifuri msikulupukie mimada ya uwongo uwongo mtu kanaswa na cameta anapiga na pozi.