Agness Masogange awapa makavu live kina Masogange feki

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

Mrembo Agness amefunguka kwa mara nyingine tena na kulalamikia wadau wanaofungua account fake kwenye social networks na kutapeli watu kwa kutumia jina lake. Mrembo huyo amepost picha na ujumbe huo hapa juu kupitia Instagram yake:
Duh ! Kweli watu wanapenda Miteremko .....hizo accounts zote ni Fake kwa jina la Masogange....mmhhh
 
Ila wote si Wanajiuza ! Pamoja na ye mwenyewe !

siku hizi Biashara ya Mwili hailipi !
Siku hizi Sembe tu !

Aache kufikilia kwakutumia makalio !
 
Hata yeye masogange sio jina lake ni jina la wimbo!..halafu mbona amerudia mara nyingi kutaja jina la 'tigo'?
 
hilo jina amelikatia patent rights?
 
Ameamua kuzikana leo maana hawa sio wa kuwaamini unaweza kuta zote zake kwa ajili ya kazi mbadala.
 
Ina maana wanaingilia biashara yake ?kabla sijafa nitashuhudia mengi !
 
Agness ana elimu ya kiwango gani? Ana ujuzi gani?

Kwa anayefahamu tafadhali.
 
Agness ana elimu ya kiwango gani? Ana ujuzi gani?

Kwa anayefahamu tafadhali.

Darasa la saba ndo kiwango chake cha juu kabisa cha elimu na ana ujuzi uliokithiri wa kuuza mbunye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…