demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Ukiwaangalia Simba unaona kabisa hawana muunganiko (chemistry) ya kujuana vyema uwanjani.
Mutale na Mukwala wanafanya mikimbio kuelekea pembeni ya goli asilimia 70 ya mchezo.
Hauwezi ukacheza na underdog ambapo 50% ya mchezo unashindwa kusajili shoot on target.
Timu inategemea sana individual brilliance kuzalisha matokeo. Kocha Fadlu ana homework ya kufanya kabla hajakutana na wahuni hapo tarehe 8.