Agreement for EA crude oil pipeline reached

JIWE awapenda saana wakenya kaona awachie bandari ya mchina ijengwe kwao ili wapate urahisi wa kusafirisha parachichi
Hili dili la parachichi sijui kama wataliweza, maana mchina amewaambia lazima zimenywe na zisafirishwe zikiwa na ubaridi wa -18 degrees centigrade. Yaani mchina anaendelea kuwatia vidole hawa jama
 
Parachichi ikimenywa si ndo unakua mwisho wake.
 
Hili dili la parachichi sijui kama wataliweza, maana mchina amewaambia lazima zimenywe na zisafirishwe zikiwa na ubaridi wa -18 degrees centigrade. Yaani mchina anaendelea kuwatia vidole hawa jama
Dah mm nilishangaa saana huu urafiki wa gafla kati ya China na majirani aise yawezekana lengo la mchina ni kujitwalia bandari ili ile one road network iwe simple
 
Hili dili la parachichi sijui kama wataliweza, maana mchina amewaambia lazima zimenywe na zisafirishwe zikiwa na ubaridi wa -18 degrees centigrade. Yaani mchina anaendelea kuwatia vidole hawa jama
chezea mchina wewe, ilikuwa mbinu ya kuwarudisha nyumbani na matumaini
 
Hili dili la parachichi sijui kama wataliweza, maana mchina amewaambia lazima zimenywe na zisafirishwe zikiwa na ubaridi wa -18 degrees centigrade. Yaani mchina anaendelea kuwatia vidole hawa jama
Mchina alikuwa anazuga tu anajua Kenya hakuna hata chakula sasa hayo maparachichi watatoa wapi siwangeyatumia Kwa njaa yao
 
Hili dili la parachichi sijui kama wataliweza, maana mchina amewaambia lazima zimenywe na zisafirishwe zikiwa na ubaridi wa -18 degrees centigrade. Yaani mchina anaendelea kuwatia vidole hawa jama

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoma ya Mchina kuicheza ni taabu sana
 
Pipeline vipi miccm[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mmmmh hawa wachina wana roho mbaya mammayeee.
Hizo mashine kwanza tu wakulima wanazipataje????
Daaah hii inatia huruma,hasira na vichekesho at the same time.
 
Geuza ulaleeee!!! Niaje boss!!
 
Hili dili la parachichi sijui kama wataliweza, maana mchina amewaambia lazima zimenywe na zisafirishwe zikiwa na ubaridi wa -18 degrees centigrade. Yaani mchina anaendelea kuwatia vidole hawa jama
Na hili dili la mafuta mutaliweza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…