Agri-storage business

shoka mwitu

Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
7
Reaction score
0
Hello,
My name is Sitoni, I am very interested in establishing grain storage business. I really do not have much experience in agricultural storage business. I would be so happy if you can tell me any short programme I can attend either in Tanzania or Kenya that can inform me more on storage facilities and grains preservation. I am, at the moment, live in Arusha but will like to start my agri-storage business in Arusha or Babati, Tanzania. Thanks
 


unajua kwamba biashara ya mazao ni ya msimu? unajua pia kwamba misimu inabadilika? unajua kwamba kuna mwaka wakulima wana fail kupata mazao ya kutosha kiasi cha wao kushindwa kuwa na surplus ya kuuza? hiyo babati unayoizungumzia ni wapi.... magugu,dareda, galapo, mamire,bonga au kiru?? kama ni huko basi nikufahamishe kuwa ni bora ukafanya agro processing kuliko agro storage maana uwezekano wa wewe kupiga mweleka ni mkubwa kwa otpion hiyo uliyoamua kuanzan nayo. ni pm nikupe details
 
Kuna storage warehouse kubwa itajengwa/inajengwa maeneo ya nyia panda Himo Kilimanjaro. Na ina mkono wa serikali kidogo, wanatarajia itakapoisha itakuwa inasupply mazao maeneo yote ya kaskazini ya tanzania, na pia nje ya nchi especially Kenya and Sudan ambao mara nyingi sana wana depicit.

Kabla ya kuanza kuinvest ni bora ukatafuta details zaidi za huu mradi,ili ujue kama kweli it worth it investing.
 
Nashukuru sana kwa mchango wko wa mawazo Babati ninayoizungumzia ni mjini-huko maisaka. wazo kuu ni kujenga ghala la kisasa ili pia kuwakodisha wakulima wadogo2 kwa ajili ya kuwatafutia masoko. Nimezunguka sehemu nyingi uhifadhi ni duni na mazao yanaharibika !!!!!!!!!!Endelea kunishauri tafadhali.
 
Mkuu nashukuru kwa angalizo hilo nitalifanyia kazi asante sana.
 
Je nitapata fedha ya kuanzisha mradi huu endapo nina eneo la kutosha hapa Arusha mjini?
 
vipi kuhusu hii issue ya serikali kufuta msamaha wa kodi kwa mchele toka nje,kuna uwezekano bei ya mchele ikawa juu miezi michache ijayo na hivyo kuwa na faida iwapo naamua kustock sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…