longobesi bombasi
Member
- Oct 2, 2013
- 83
- 14
Wadau!
Poleni kwa majukumu ya ujenzi wa taifa.
Tafadhali naombeni msaada wenu kwa wale waliopitia course hizo na wenye utaalamu wa Agricultural economics &Agribusiness na Rural Development &Planning, ipi inauzika katika soko la ajira?
Nitashukru kwa msaada wenu..! Nahitaji kuingia chuo mwaka huu.