longobesi bombasi
Member
- Oct 2, 2013
- 83
- 14
kwanza jina tuu linatambulisha maudhui na jibu la swali lako ndugu, maana Huwezi kufanya biashara kama huna uhakika wa soko. SO Agribussiness ni the best, ina soko sana na hata kwny vyuo vinavyotoa iyo course pia ushindani ni mkubwa sana kuliko rural.
Hapa Tanzania kwasasa mi nafahamu ni Sokoine university ndio inayotoa izo course. tembelea Welcome to Sokoine University of Agriculture.
ahsante
Rural Development Planning kwa soko la sasa la ajira kwa nchi yetu ni shiidaaaa kwa kweli...Agribusiness bado ina soko sana na Mtu aliesoma Agribusiness anafanya kazi za Mtu aliesoma Mipango bila wasiwasi unlike the opposite