Agricultural engineering

Agricultural engineering

jablesman

Member
Joined
Mar 26, 2015
Posts
47
Reaction score
2
Jamani habar za saa hizi? ningependa kufahamishwa kuhusu fursa na uzuri wa hii course kwa sabab watu wengi wanasema ni nzuri na pia ningependa kujua ukimaliza masomo je una uwezo wa kujiajiri?
 
Back
Top Bottom