jablesman Member Joined Mar 26, 2015 Posts 47 Reaction score 2 Apr 19, 2015 #1 Jamani habar za saa hizi? ningependa kufahamishwa kuhusu fursa na uzuri wa hii course kwa sabab watu wengi wanasema ni nzuri na pia ningependa kujua ukimaliza masomo je una uwezo wa kujiajiri?
Jamani habar za saa hizi? ningependa kufahamishwa kuhusu fursa na uzuri wa hii course kwa sabab watu wengi wanasema ni nzuri na pia ningependa kujua ukimaliza masomo je una uwezo wa kujiajiri?