Bila shaka zote hizi zinatolewa sua!
Agriculture general
Hawa mara nyingi wanaajiriwa kama maafisa kilimo wa kijiji,mkoa wilaya!! Na mara nyingi wanajihusisha na kilimo kwa ujumla wake.Kama unataka soma hii kozi itakufaa kama ulisoma biology na chemistry a-level!!
Agribusiness and agroeconomics
Hii inatolewa sua kwenye campas ya mazimbu. Kwenye hii kozi utasoma economics kwa ujumla hasa uchumi kilimo!! Wata waliosoma hii kozi wanafanya kaz kama kwenye ma bank, mashirika ya umma na binafsi!! Na kama unataka usome hii kozi lazima uwe umesoma uchumi a-level nadhan pia waliosoma science pia wanasoma bila shida!!!
Kwa msaada zaid google sua then download prospectus ya mwaka huu naimani utapata mawazo na mwangaza zaidi!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.