Aguia Vitoria

Aguia Vitoria

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,319
Huyu si mtu. Ila ni ndege aina ya mwewe, mali ya timu ya soka ya SL Benfica, yenye maskani yake katika uwanja wa Luz mjini Lisboa, Ureno.
Yeye huruka kuzunguka uwanjani na kuja kutua katika nembo ya timu hiyo, isiyo na ndege (kwa kawaida nembo ya SL Benfica huwa na picha ya ndege kwa juu)
View attachment 49415
Tukio hili hufanyika kabla ya kila mechi ambayo inachezwa uwanjani kwao, lengo ni kuamsha ari ya wachezaji na washabiki na kiasi fulani kuwaogopesha wapinzani wao.
 
Last edited by a moderator:
kumbe hadi mbele mbele uchawi upo....

sidhani kama ni uchawi, ni mambo ya training tu hayo. Hujapata kusikia familia inayocheza ngoma na fisi huko kanda ya ziwa?
 
Back
Top Bottom