Ah! Acha nkalale zangu tu mimi ...., au nyi mnakamlia kiwanja gani kwani saa hizi .!

under_score

Senior Member
Joined
Nov 2, 2011
Posts
190
Reaction score
45
... maake hadi ngoma 7 hii mi sijaona kiwanja hata kimoja chenye mzuka yani tangu ijumaa ianze, mpaka ishaingia j'mosi tayari ...!
 
Lala tu ndugu!! kesho uanze upya!!. Gonga Lager mbili siku utaiona nzuri tu. Bye!
 
... maake hadi ngoma 7 hii mi sijaona kiwanja hata kimoja chenye mzuka yani tangu ijumaa ianze, mpaka ishaingia j'mosi tayari ...!

uwanja wa fisi vipi umejaribu kwenda?
 
Mi nipo Mafian Fish lounge hapa! Pametulia kiaina, watu bomba, watoto wazuri ila inaonyesha kila pini ina mwenyewe! Mi namkonyeza dem wa mtu kipembeeeni anatabasam tabas tu, dah madem bwana!
 
mkuu vipi mbu?si bora ya hapa ambiance?njoo tuinjoy mkuu.mia
 
nipe ramani mkuu, uwanja wa fisi ndo pande za wapi hizo nikuunge tela mtu wangu ...,

panda magari ya masaki shuka kituo kinaitwa bondeni then chukua bajaji mwambie dereva akushushe mfereji maringo afu mtafute mtoto yoyote hapo akusindikize mpaka kiembe mbuzi utakuwa umefika..
 
Mi nipo Mafian Fish lounge hapa! Pametulia kiaina, watu bomba, watoto wazuri ila inaonyesha kila pini ina mwenyewe! Mi namkonyeza dem wa mtu kipembeeeni anatabasam tabas tu, dah madem bwana!

dah! mkuu inavoonekana itakua unafaudu kchiz pande hizo, japo ni kwa chati kiainah, wapi hiyo mze ?
 
panda magari ya masaki shuka kituo kinaitwa bondeni then chukua bajaji mwambie dereva akushushe mfereji maringo afu mtafute mtoto yoyote hapo akusindikize mpaka kiembe mbuzi utakuwa umefika..

duuh! .. mi niko pande za arachuga saa hizi mazee, so hapo itabidi nianze na kitu cha 'ngorika' nadhani kabla ya kulamba bajaj!
 
Back
Top Bottom