under_score
Senior Member
- Nov 2, 2011
- 190
- 45
... maake hadi ngoma 7 hii mi sijaona kiwanja hata kimoja chenye mzuka yani tangu ijumaa ianze, mpaka ishaingia j'mosi tayari ...!
uwanja wa fisi vipi umejaribu kwenda?
Mi nipo Mafian Fish lounge hapa! Pametulia kiaina, watu bomba, watoto wazuri ila inaonyesha kila pini ina mwenyewe! Mi namkonyeza dem wa mtu kipembeeeni anatabasam tabas tu, dah madem bwana!
nipe ramani mkuu, uwanja wa fisi ndo pande za wapi hizo nikuunge tela mtu wangu ...,
Mi nipo Mafian Fish lounge hapa! Pametulia kiaina, watu bomba, watoto wazuri ila inaonyesha kila pini ina mwenyewe! Mi namkonyeza dem wa mtu kipembeeeni anatabasam tabas tu, dah madem bwana!
panda magari ya masaki shuka kituo kinaitwa bondeni then chukua bajaji mwambie dereva akushushe mfereji maringo afu mtafute mtoto yoyote hapo akusindikize mpaka kiembe mbuzi utakuwa umefika..