Ah! I hate suprises!

jiandae kuletewa dainasos....!i mean ka dainasos kadogo
 
Eee bhana hiyo suprise hapana kabisa,je kama mtu ana presha si atakufa?mshauri bhana hutaki suprise zake
 
Nyinyi kweli mmefulia aisee! Yaani watu wanapeana masapraiz ya Prado na Vitz nyinyi mnapeana sapraiz za vyura na reptailz. Khaa!
 
Bishanga ni mfugaji mzuri sana wa kenge,vyura,nyoka,konokono na mamba.
Kumbe kuna watu wana hobby kama ya kwangu!
 
Hahahahahaha haaaaaaaaaa, dah nimecheka mpaka ofisini wamebaki wananishangaa nacheka na kompyuta..ebana mwana pole sana hiyo suprise kweli kiboko....

Sasa wewe!! ofisini badala ya kufanya kazi!! unaingia JF!!
 



Mshikaji sema ukweli banaaaaa. Ni nyoka kweli au alipokwenda kwao australia alirudi kabadirisha sex? Usiseme nyoka kumbe mwenzako karudi na bonge la pini anataka kukugeuzia kibao wewe, si unajua mambo ya wazungu kupenda kufurahisha wapenzi wao bila kipimo. Je, hizo kelele ulizokuwa unapiga ndo alikuwa anaanza kukuingia ama? Usione haibu hatujuani, we tuambie tu!
 

Basi inaonesha wewe umeshafanyiwa hivyo ndo maana unadhani kila mtu kama wewe...Kwanza sio mzungu na alienda one tym kusoma tu..kwao hapahapa...
 
dah,hyo kali. n-way ndo mapenz hahahaaa. me csta angu alifanyiwa surprize ya zawad ya kichwa cha dagaa. cku hyo nlicheka mpk nkakaa chn! tena mpnz wake alimwekea kwny bahasha as if ni hela! csta kuja kuhamak kumbe kcha cha dagaa. surprize noma...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…