Aha ha haaaaa! Nouma sana

Aha ha haaaaa! Nouma sana

tinno criss

Senior Member
Joined
Jul 3, 2015
Posts
112
Reaction score
56
Gari la Million 200 Ina lala Nje, Jamaa Hana wasiwasi, <br />But mwanamke wa mahali Ya shilling Laki Mbili Akilala nje, Hilo Timbwili lake babaaaaa!!!
 
Gari unaweza kumuachia rafiki aendeshe lakini mwanamke huwezi kumpa akachepuka nae. kutokana gari haina roho itarudi tu kwako lakini mwanamke anaweza kuchenji gia angani akahamia kwa mshkaji moja kwa moja. dadeki ukiwa na kibamia ndio hatareee kabisa
 
Acha kukopy na kupesti twaikimo za whatsapp...
Hapa tunataka story ya ukweli ilokutokea jana ama leo.....

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Gari unaweza kumuachia rafiki aendeshe lakini mwanamke huwezi kumpa akachepuka nae. kutokana gari haina roho itarudi tu kwako lakini mwanamke anaweza kuchenji gia angani akahamia kwa mshkaji moja kwa moja. dadeki ukiwa na kibamia ndio hatareee kabisa
Mapenzi Nouma Sana,
 
Back
Top Bottom