tinno criss
Senior Member
- Jul 3, 2015
- 112
- 56
Pamoja Sana kaka, heshima kwakoAcha kukopy na kupesti twaikimo za whatsapp...
Hapa tunataka story ya ukweli ilokutokea jana ama leo.....
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Mapenzi Nouma Sana,Gari unaweza kumuachia rafiki aendeshe lakini mwanamke huwezi kumpa akachepuka nae. kutokana gari haina roho itarudi tu kwako lakini mwanamke anaweza kuchenji gia angani akahamia kwa mshkaji moja kwa moja. dadeki ukiwa na kibamia ndio hatareee kabisa
Mapenzi Nouma Sana,
Umenena KweliUnaweza kumchukia mzee aliekuzaa kwa mapenzi.