Ahaaaa, wasichana wa DAR, Enshundo ETI ni Kidoti......?

Ahaaaa, wasichana wa DAR, Enshundo ETI ni Kidoti......?

sifi leo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,182
Reaction score
8,948
Nimefurahi sana jana nilikutana na dem mpya kutoka jiji la Makonda, du kila ninapo ongea eti ananiambia kutunza kidoti ni gharama sana maana kinaitaji kuwa maintained, du sasa sisi kwetu icho kidoti ni Enshudo, ni ugonjwa unaotokana na kutemewa mate na mtu aliyekaribu na wee. yale mate yakikuingia usoni vizur ndo unapata enshundo. sasa eti mjini waschana ndo wnalingia?
 
Wanaiga mambo ya Ufilipino kule unachomwa kasindano kinatokea kidoti lakini kule kwetu lilipotokea tetemeko "Enshundo" inapatikana kirahisi na hata kuiondoa ni rahisi vile vila
 
Back
Top Bottom