Je ni kwanini alienda zake na kuachana na wewe?wangu alienda na maji..
Kila mahusiano yana changamoto zake na maudhi yake so katika kukabiliana na hyo tuakajikuta hkuna mtu anaweza kuvumilia hatua ikachukuliwa kila mtu apite hv ivo yanJe ni kwanini alienda zake na kuachana na wewe?
Je kuna kitu cha kujifunza kutokana na mahusiano uliyokuwa nayo?
Je unadhani wapi ulikosea??
No but iyo ipo kwa kila mtu kataka mahusiano kuna kuchokana ilo unajua na sio mgeni wa mapenzialikudanganya ili apate anachokitaka
relax
utamu mlipata wote
Yupo SAUT pale mwaka wa pili
Sent Using Kitochi
Kila mahusiano yana changamoto zake na maudhi yake so katika kukabiliana na hyo tuakajikuta hkuna mtu anaweza kuvumilia hatua ikachukuliwa kila mtu apite hv ivo yan
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo sasa hivi unavyoliwa unapewa ahadi gani?
Kudanganya kupo i hope ata wewe usha danganywa tena mara kibao tu but kama ananidanganya na mimi namdanganya so tunadanganyana sote coz mimi uwa nakuwa na mtu kutokana na yeye anavo nichukulia ndo na mimi nachukulia ivo ivo so kama yeye nanichukulia mimi kama mshauri katka kutengeneza maisha yake na mimi nachukulia ivo ivo tena mimi ni zaidi coz anatumia mpka gharama kama anaichukulia me wa starehe me ivo ivo naisi umenilewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo ww kuchukuliwa kama mtu wa starehe kwako sio tatizo?
Uandishi wako unaonyesha bado wewe ni mgeni hapa jf no matter you joined dec 8.
Sio tabu ndio kitu unashindwa kujua wadada tuna tabia moja endapo ukija kwangu bila malengo na mimi ukanichukulia me mtu wa starehe yaan hyo ni nafas kubwa sana kuitumia ili kutimiza malengo coz hmn wanaume wanao jisahau kama wapnda starehe ujisahau sana ndo maan unakuta mtu ana mke lakin bdo ana mwanamke wa nje sasa mwanamke wa nje akijua wew ni mume wa mtu unazani atakuacha salama anaakikisha anakukwangua mpk hela ya kuacha matumizi nyumbn unakosa so ukiona mdada anatembea na mume wa mtu jua yuko kwa malngo yake binafs tia hakirini ilo lisikuponyoke enda nikawa nimekutibu
Sent using Jamii Forums mobile app