Ahadi fake[emoji173]

mimi aliekua wangu amepewa uheshimiwa wilaya moja huko mkoani pwani
 
Hakirini ndio wapi mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru ni mzima wa afya.

Huwa natembelea majukwaa yote hapa JF.

Huwa nachangia pale inapobidi.
Sawa sawa mkuu, ni kwa sababu mimezoea kukuona kule kwenye jukwaa letu lile muhimu la kiteknolojia.

Siku si nyingi nitakuomba msaada wako wa huduma kule, kuna kifaa nakihitaji kutoka kule duniani. Ahsante na ubarikiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…