A
Anonymous
Guest
Pamoja na ahadi kemkem za viongozi mbalimbali tangu mwaka 2020 hakuna lililotekelezwa zaidi ya ahadi na tathmini zisizokwisha.
Tuna wasiwasi kwamba barabara hii imekuwa mtaji kwa viongozi kwa sababu pamoja na mtaro kujengwa umeshaharibika, lakini pia hata greda linalopitishwa mara kwa mara huwa linaishia kuchimba sehemu zisizo na changamoti na kuacha sehemu zenye changamoto kubaki kama zilivyo.
Kwa kweli barabara hii imekuwa chanzo cha umasikini kwa wakazi wake.