jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Nimemsikia mgombea wa CCM akitoa ahadi ya kuwawezesha vijana hasa wanaomaliza vyuo vikuu kupitia mikopo au ruzuku ili waweze kujiajiri.
Hii ni sera ya muhimu sana katika kutatua tatizo la ajira kwa vijana wetu wanaomaliza vyuo na kutembea na bahasha barabarani.
Nikikumbisha tu kulikuwa na yale yaliyoitwa mabilioni ya JK. Ambayo yalienda kwa watu wasio na ujuzi na yakaishia kuneemesha mtu mmoja mmoja.
Hivyo hayakuleta tija na yalishindwa kuzalisha ajira.
Vijana wasomi wakipewa mkopo wanaweza wakajiajiria na kuajiri.
Nashauri mikopo hii ianzie katika eneo la kilimo na mambo ya teknolojia ya habari(IT).