AHADI: Ili CCM iwe salama, Moshi Mjini Kilimanjaro, kero hizi zitatuliwe kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025

milele amina

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
6,045
Reaction score
8,080
Hebu tujiulize Mhe. Mbunge kwa kipindi cha miaka 4 na miezi 6 amefanyia nini makundi yafuatayo.
1. Vijana ( bodaboda, bajaji, timu za mipira, wanavyuo, vijana wa mtaani, na wahitimu wa fani tofautitofauti)
2. Wanawake(wajasiliamali, vikundi vya vicoba, wauza masokoni, nk)
3. Wanaume ( wababa kwenye shughuli zao mbalimbali
4. Makada na wanachama wenzake wa CCM ( UVCCM,UWT, WAZAZI NA CHAMA)
5. Wazee ( wazee wenye mazingira magumu
6. Wajane na Wagane katika rika zote
7. Yatima na watoto wa Mtaani na walioko kwenye vituo vya kulelea watoto
8. Masuala ya ajira na kujiajiri
9. Suala la Viwanda
10. Suala la usafi wa mji na usalama
11. Suala la dawa za kulevya na michezo holela ya kubet na kamari
12. Michango ya misikiti na makanisa
13. Ujenzi holela katika eneo tunalotaka liwe jiji
14. Walimu na watendaji wa mitaa na kata ambao wanahudumia wananchi wake
15. Kusomesha watoto wenye mazingira magumu kama alivyofanya Ndesa na Jafari
16. Usawa na uwazi katika kutoa mikopo ya Halmashauri
17. Utoaji holela wa maeneo ya wazi na ujenzi wa carwash na bar kila mahali hadi makazi ya watu na mashule
18. Wafanyabiashara wa 𝗦𝗧𝗘𝗡𝗗 ambao wanalalamikia ukubwa wa kodi
19. Misaada ya mitaji kwa wahanga wa moto soko la 𝗠𝗕𝗨𝗬𝗨𝗡𝗜.
20. Ujenzi wa soko la 𝗠𝗔𝗡𝗬𝗘𝗠𝗔 kwa ahadi ya hadharani mkutano wa Makonda stend.
Kumbuka zimebaki siku 175 ambapo anatakiwa kulipa na kukamilisha ahadi zifuatazo
1. Milioni 13 za 𝗦𝗧. 𝗝𝗢𝗦𝗘𝗣𝗛 𝗛𝗢𝗦𝗣𝗜𝗧𝗔𝗟
2. Milioni 10 za 𝗦𝗔𝗖𝗖𝗢𝗦 ya 𝗕𝗢𝗗𝗔𝗕𝗢𝗗𝗔 na 𝗕𝗔𝗝𝗔𝗝𝗜 Moshi
3. Milion 1 𝗞𝗔𝗡𝗜𝗦𝗔 𝗞𝗞𝗧 Majengo
4. 500,000/= Kanisa la 𝗦𝗗𝗔 𝗠𝗢𝗦𝗛𝗜 𝗖𝗘𝗡𝗧𝗥𝗔𝗟
5. Milion 1 𝗞𝗘𝗢 𝗩𝗜𝗞𝗢𝗕𝗔 group Bomambuzi
6. 𝗠𝗦𝗜𝗞𝗜𝗧𝗜 𝗪𝗔 𝗣𝗔𝗦𝗨𝗔
7. 𝗣𝗥𝗜𝗡𝗧𝗘𝗥 - 𝗕𝗔𝗞𝗪𝗔𝗧𝗔
8. Shule ya secondary 𝗞𝗜𝗨𝗦𝗔
9. Nk
 
Hatutatui kero zenu na nchi tunachukua. Tunajua hamna akili, hamwezi kutufanya chochote.

CCM HOYEEEE!
 
Chadema wao walifanya nini miaka yote walipokuwa na mbunge wao?
 
Attachments

  • 1728759764686.jpg
    1728759764686.jpg
    154.8 KB · Views: 2
  • 5744975-8bcb85f1807b40dfe9b1bdf5a6eabbb0.jpg
    5744975-8bcb85f1807b40dfe9b1bdf5a6eabbb0.jpg
    8 KB · Views: 3
Hebu tujiulize Mhe. Mbunge kwa kipindi cha miaka 4 na miezi 6 amefanyia nini makundi yafuatayo.
1. Vijana ( bodaboda, bajaji, timu za mipira, wanavyuo, vijana wa mtaani, na wahitimu wa fani tofautitofauti)
2. Wanawake(wajasiliamali, vikundi vya vicoba, wauza masokoni, nk)
3. Wanaume ( wababa kwenye shughuli zao mbalimbali
4. Makada na wanachama wenzake wa CCM ( UVCCM,UWT, WAZAZI NA CHAMA)
5. Wazee ( wazee wenye mazingira magumu
6. Wajane na Wagane katika rika zote
7. Yatima na watoto wa Mtaani na walioko kwenye vituo vya kulelea watoto
8. Masuala ya ajira na kujiajiri
9. Suala la Viwanda
10. Suala la usafi wa mji na usalama
11. Suala la dawa za kulevya na michezo holela ya kubet na kamari
12. Michango ya misikiti na makanisa
13. Ujenzi holela katika eneo tunalotaka liwe jiji
14. Walimu na watendaji wa mitaa na kata ambao wanahudumia wananchi wake
15. Kusomesha watoto wenye mazingira magumu kama alivyofanya Ndesa na Jafari
16. Usawa na uwazi katika kutoa mikopo ya Halmashauri
17. Utoaji holela wa maeneo ya wazi na ujenzi wa carwash na bar kila mahali hadi makazi ya watu na mashule
18. Wafanyabiashara wa 𝗦𝗧𝗘𝗡𝗗 ambao wanalalamikia ukubwa wa kodi
19. Misaada ya mitaji kwa wahanga wa moto soko la 𝗠𝗕𝗨𝗬𝗨𝗡𝗜.
20. Ujenzi wa soko la 𝗠𝗔𝗡𝗬𝗘𝗠𝗔 kwa ahadi ya hadharani mkutano wa Makonda stend.
Kumbuka zimebaki siku 175 ambapo anatakiwa kulipa na kukamilisha ahadi zifuatazo
1. Milioni 13 za 𝗦𝗧. 𝗝𝗢𝗦𝗘𝗣𝗛 𝗛𝗢𝗦𝗣𝗜𝗧𝗔𝗟
2. Milioni 10 za 𝗦𝗔𝗖𝗖𝗢𝗦 ya 𝗕𝗢𝗗𝗔𝗕𝗢𝗗𝗔 na 𝗕𝗔𝗝𝗔𝗝𝗜 Moshi
3. Milion 1 𝗞𝗔𝗡𝗜𝗦𝗔 𝗞𝗞𝗧 Majengo
4. 500,000/= Kanisa la 𝗦𝗗𝗔 𝗠𝗢𝗦𝗛𝗜 𝗖𝗘𝗡𝗧𝗥𝗔𝗟
5. Milion 1 𝗞𝗘𝗢 𝗩𝗜𝗞𝗢𝗕𝗔 group Bomambuzi
6. 𝗠𝗦𝗜𝗞𝗜𝗧𝗜 𝗪𝗔 𝗣𝗔𝗦𝗨𝗔
7. 𝗣𝗥𝗜𝗡𝗧𝗘𝗥 - 𝗕𝗔𝗞𝗪𝗔𝗧𝗔
8. Shule ya secondary 𝗞𝗜𝗨𝗦𝗔
9. Nk
 
Kama hazitoibiwa jimbo 2025 ni la CDM.

Kumbe tupo 2025 tayari, duh
 
asie mbunge kuna kitu amefanya au kuwajibika nacho kweli katika kipindi hicho hicho gentleman? 🐒?
 
Back
Top Bottom