Wasiwasi wangu ni juu ya uwezo CCM katika kumuinua mtanzania. Ikiwa imeshindwa kulifanya hilo kawa zaidi ya miaka 49 katika uongozi wa nchi.
Uwezo wangu wa kufikiri ndio unaonipa uhakika wa kuwepo mahitaji ya mabadiliko ya kweli katika siasa za nchi hii, ili tanzania iweze kutumia rasilimali zake vizuri kwa maendelea ya wananchi wake. Tumia kura yako ya ndio kwa Dr. SLAA
Pamoja na kuwa hayo ni mawazo ya mtu binafsi hakuna kosa kwa maoni yake hayo. Tatizo naliona kwa wale wanaomkosoa kwa kudhani wanajua kumbe hawajui. Kama wanataka kuhalalisha maoni yao basi watoe hoja zinazofaa na ziungwe mkono.