Hii ahadi ni tusi kwa vijana wetu ambao kwa kuwepo kwao kwenye biashara hiyo si kwa kupenda bali ni mfumo m-baya wa utawala wa serikali ya CCM. Hivi RIZone naye ni moja ya walengwa wa hizo complekz? na Je hii sekta ya umachinga ni ya kuduma Tanzania. kama jibu ndiyo naomba nipata kujuza namna ya kuukana uraia wangu. Lakini kumbuka kila siku wanasema eti vijana taifa la kesho yaani taifa la wamachinga kimsingi..... nawasilisha.